Friday, August 17, 2012

MBEYA GREEN CITY

This weekend Ni Eid El-Fitri ambayo kwa jijini Mbeya Viwanja vya Bata Vinasanuka noumer...... Ikiwa ni Eid ambayo itakua na mzuka kwa Wakazi coz Club Tatu Kali kuwa On Fire kwa Pamoja.... Hapa nazungumzia ROYAL PAMODZ CLUB,THE VIBE CLUB na new Lounge iitwayo BABOO LOUNGE.........Lets wait

No comments:

Post a Comment